ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 30, 2018

JPM ASHIRIKI MISA YA MAADHIMISHO SHEREHE YA FAMILIA TAKATIFU YA YESU

Rais John Magufuli akiwasili kanisani kushiriki Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oyster Bay jijini Dar es Salaam leo Desemba 30, 2018.
Akishiriki misa hiyo.
Akipeana Mkono wa Amani na Masista wa kanisa hilo.
Akisalimiana na watoto.

Akisalimiana na Paroko Msaidizi Padre Asis Mendokta baada ya misa.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo, Desemba 30,2018, ameshiriki Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oyster Bay jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU

No comments: