New York Twiga Ladies Holiday Party Extravaganza Mambo yalikuwa moto moto, Pongezi kwa akina mama hawa wa New York kwa kufanikisha party hii ya kufunga mwaka na kukaribisha mwaka mpya kwa style ya kudamshi kama kote.
Sherehe ilifana sana na kila mtu aliekuwa ukumbini alifaidi matunda ya kiingilio chake kwa kuanzia vyakula vya kila aina vinywaji hadi rumba la rika lote ambalo lilisimamiwa na ma DJ bora New York City DJ Mao, Dj Dave kutoka Ohio na Dj Bilal.
Muda wa chakula ulivyofika kila mtu alipata kitu roho inapenda.
Mambo yakawa kama hivi rumba kama lote hadi usiku wa manane. Kwa taswira zaidi nenda chini ujionee ng'aring'ari.
No comments:
Post a Comment