Eddah Gachuma ambaye ni mmoja ya mwanajumuiya wa Mt. Petro akitoa maelekezo katika sherehe ya Christmas iliyoandaliwa na Kanisa la ibada ya Kiswahili ya misa ya Katoliki iliyofanyika katika kanisa la Mt. Edward Baltimore,Maryland na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini nyingine.
Wageni mbalimbali na waumini wa kanisa hilo walihudhuria kwa wingi.
Wageni na waumini wa kanisa hilo na waandaaji wakiwa wenye furaha katika kufanikisha sherehe iliyoacha historia.
Wageni na waumini wakipata picha ya pamoja.
Ilikua ni sherehe iliyowavutia wengi.
Waumini wa kanisa hilo wakijumuika na wageni wao katika sherehe iliyofana sana.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment