Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) mara baada ya kuwasili Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) , Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18, 2018 nchini Afrika Kusini.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpa pole mjane Joyce Chamhuro (Mke wa Marehemu) pamoja na familiya ya Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM), Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18, 2018 nchini Afrika Kusini.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Wafiwa na Waombolezaji wengine mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) , Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Wafanyakazi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) pamoja na Waombolezaji wengine mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) , Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment