BOTI ya Kisasa ya Uokozi na Uzamiaji ya Kikosi cha KMKM Zanzibar imezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein,.leo katika bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba, wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Vituo Vya Uokozi vya KMKM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Boti ya KMKM ya Uokozi baada ya kuizindua akiwa na Mkuu wa KMKM Commodore Hassan Mussa Mzee, (Picha na Ikulu) NO 5665///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman wakiondoka katika eneo la Bandari ya Mkoa baada ya Uzinduzi wa Boto ya KMKM ya Uokozi na Uzamiaji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Boti ya Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji vya Kikiso cha KMKM Zanzibar,uzinduzi huo umefanyika katika, bandari ya Mkoani Pemba leo,2-1-2019.kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Vikosi Maalum. Mhe Haji Omar Kheri na kulia Mkuu wa KMKM Commodere Hassan Mussa Mzee.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CDR.Hussein Ali Makame, akitowa maelezo kwa Rais wakati akitembelea Boti hiyo baada ya kuizindua leo katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kituo cha Mradi wa Uokozi na Uzamiaji cha KMKM Zanzibar, wakati wa shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CDR. Hussein Ali Makame. akitowa maelezo ya kimoja ya vifaa vya Uokozi baada yya kukifungua Kituo cha KMKM Cha Mradi wa Uokozi na Uzamiaji katika Bandari ya Mkoani Pemba.
JENGO Jipya la Kituo cha KMKM la Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji lilioko katika Bandari ya Mkoani Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment