Keki ikiwa tayari kukatwa na Lulu siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia Washington, DC, jiji la watunga sheria.
Lulu akikata keki
Lulu akimlisha keki baba mwenye nyumba wake.
Lulu akimwagiwa manoti
Lulu akipata ukodak moment namarafiki zake.
Wapili toka kushoto ni Maulid Kitenge mtangazaji mahili toka EFM Radio naye alikuwemo ndani ya mjengo.
baba mwenye nyumba akisherehesha siku ya kuzaliwa mkewe
Watangazaji maarufuna wa siku nyingi (kushoto Sunday Simba Shomari ambaye kwa sasa ni mtangazaji wa (VOA)Voice OfAmerika idhaa ya Kiswahili pamoja nae mkewe wakipata ukodak moment narafikinamtangazaji mahili Maulid Kitenge siku walipohudhuria sherehe siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Lulu iliyofanyikia Washington, DC, jiji la watunga sheria. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment