ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 3, 2019

PITAPITA YA VIJIMAMBO WASHINGTON, DC

Pitapita ya Vijimambo Washington DC na kukutana na sherehe ya siku ya kuzaliwa ya dada Dorothy Lema aliyofanyiwa na wadogo zake na kuhudhuriwa na marafiki wa karibu wa familio hiyo, katika picha ni dada Dorothy akiwa katika picha ya pamoja na wadogo zake na marafiki waliohudhuria birthday yake iliyofanyika Washington, DC.
 Kushoto ni Flora akimsaidia Dorothykukata keki
Dorothy akijiandaa na keki yake.
dada Dorothy akitunzwa mapesa.
Dorothy akilishwa keki na mdogo wake Martha

Zawadi kutoka kwa familia
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: