ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 2, 2019

FUNGA MWAKA YA JUMUIYA DMV USIPIME

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na mkewe Marystela Masilingi wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV dj Luke (kulia) na makamu wa Rais wa DMV Bi. Joha Nyang'anyi (kushoto) siku ya Dec 31, 2018 mkesha wa mwaka mpya 2018.
Watoto wa DMV wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Wilson Masilingi.
Watoto wa DMV wakijiandaa kuimba wimbo wa Taifa huku wakiongozwa na Rose Kachuchuru (hayukopichani)
Balozi Wilson Masilingi akiongea na kutoa salamu za mwaka mpya.
Aliyekua Rais wa kwanza wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwn. Jerome Kassembe akielezea historia ya Jumuiya tangia ilikotoka.
Msemaji wa PG County Bwn. Devon akielezea maswala ya Afya.
Msemaji wa CHAUKIDU (Chama chaukuzaji wa Kiswahili Duniani) akiitambulisha chama hicho
Balozi Wilson akikabidhi vyeti kwa wadhamini na kufanikisha waliochangiashughli ya Jumuiya ya waTanzania DMV kufana.
Picha ya pamoja na Balozi Wilson Masilingi.
Mtangazaji mahili wa EFM Maulid Kitenge akisherehesha wakati wa kueleka mwaka mpya.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Picha chini ni tukio zima la countdown kuelekea mwaka mpya.
 Aliyekua mshereheshajiwa mkesha wa mwaka mpya Tuma akimtambulisha Ben
 Ben mdhamini wa Wine akijiandaa kufungua champagne.
Mtangazaji mahili wa EFM Maulid Kitenge akisherehesha wakati wa kueleka mwaka mpya.
Juu na chini wanajumuiya wakifurahiya kuupokea mwaka.

Show ya kufa mtu kutoka kwa msanii wa kizazi kipya Mr. Tz.
Juu na chini ni khanga fashion show kutoka kwa mitindo nite
 
Juu na chini ni ukodak moment

 
 

 
 
 
 

 

No comments: