ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 4, 2019

NON PROFIT THE BEES OF WASHINGTON YAZINDULIWA DMV

Kwenye picha ni Bernadeta Kaiza pamoja na wanae ndio waanzilishi wa Non Profit ya The Bees of Washington, Inc.iliyozinduliwa December 23, 2018 Kehler Hall Columbia, Maryland. the Bees of Washington wao watajikita zaidi katika kuinuwa jamii hasa vijana walio katika mazingira magumu kwa kupitia elimu, Michezo na musiki. Mpaka sasa tumefanikiwa kupeleka msisimuko wa michuano ya mpira wa tennis kwa watoto Washington, DC , Arusha na Dar es Salaaam, Tanzania.
Baadhi ya watoto waliohudhuria uzinduzi huo

Wadau mbalimbali wakihudhuria
Vijina waliojitokeza kuungamkono uzinduzi huo

Ukodak moment
Burudani kutoka kikundi cha watoto wakinogesha uzinduzi huo
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: