ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 4, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAUZIANO YA MAHINDI KATI YA NFRA NA WFP IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Bw. Michael Dunford kwenye hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019. Kati ni Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi. Vumilia Zikankuba na  Mwakilishi Mkazi wa  Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Duncan kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019. Walioketi kushoto ni Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias Kuandikwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia kubadilishana nyaraka baada ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi. Vumilia Zikankuba na  Mwakilishi Mkazi wa  Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Duncan kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019.  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi. Vumilia Zikankuba na  Mwakilishi Mkazi wa  Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Duncan kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019.  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Bw. Michael Dunford  pamoja na  Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias Kuandikwa, Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na maafisa wengine waandamizi wa taasisi hizo baad ya  hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019. Kati ni Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba..
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Bw. Michael Dunford  pamoja na  Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias Kuandikwana maafisa wengine waandamizi wa UNFPA baada ya  hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019. Kati ni Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba. PICHA NA IKULU

No comments: