Advertisements

Friday, March 22, 2019

OLD SCHOOL REUNION MAMBO NI MOTO


Captain wa Yanga akikabiziwa jersey tayari kwa mpambano wawatani wa jana Old School Reunion Houston, TX. jumamosi hii.


Captain wa Simba 


Wageni kutoka New York wakiwa ndani ya Houston.TX 


BASKETBALL BONANZA NI JUMAMOSI 10 AM-2 PM

H-TOWN OLD SCHOOL REUNION usipime, tuna maanisha tunachokisema. HOUSTON PATAKUA HAPATOSHI.

March 22, 23 itakua ni wiki ya mateso kwa vijana wa zamani.

RATIBA KAMILI

Ijumaa March 22, KARIBU NIGHT mateso yataanzia saa 4 usiku (10pm) mpaka hapo itakaposema basi MUSIC POLICY miziki inayotamba sasa.ukumbi CRYSTAL PALACE PARTY HALL

Add ni 

12450 Bissonnet #220, 

Houston, TX 77099. 

Music na Madj wenyeji Dj Toddy, Dj Issa
Jumamosi March 23, kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana (10am-2pm) ni Basketball Bonanza Address

8601 Chimney Rock Rd,

Houston, TX 77096

Jumamosi March 23 saa 10 jioni 4pm ni mpambano wa SIMBA NA YANGA, Uwanja Cullen Park add ni

19008 Saums Rd, Houston, TX 77084

Usiku ndio balaa lenyewe kuanzia saa 4 usiku (10pm) OLD SCHOOL REUNION hapa Old school kwa kwenda mbele, Music na Dj Luke na DJ Dennis The Funkhouse. Ukumbi ni ukumbi CRYSTAL PALACE PARTY HALL add ni

12450 Bissonnet #220,

Houston, TX 77099

acha kabisa H-Town OLD SCHOOL REUNION tutabanana sana USIKOSE

Leo Ijumaa na Jumamosi TICKETS kulipia ni mlangoni

Kumbuka tkt mlangoni ijumaa ni $30 na Jumamosi ni $40 na haina bei ya couple.

No comments: