Advertisements

Friday, March 22, 2019

R.I.P MAMA PEPE


Katika nahojiano ya women in leadership talk show na Marehemu Mama Pepe aliongea mambo mengi sana mazuri, alionyesha kuwatia moyo wanawake wenzake hata na watoto wa kike, Uongozi wa Women in leadership talk show umeona nivema tukamuenzi marehemu dada yetu Sauda (mama pepe) kwakurusha mahojiano haya kama ilivyopangwa.
 TBC1, Nihuzuni kubwa sana Mwenyezi Mungu awatie moyo wapendwa wake wote.
RIP mama pepe

No comments: