RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Semina ya Kitaifa Kuhusiana na Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zisizorejesheka Zanzibar, ikiwashirikisha Wadau wa Ardhi na Sheria , inliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni , leo 16-302019.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kulia.Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Mahmoud Thabti Kombo, Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Juma Ali Khatib, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Semina Kitaifa Kuhusu Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zisizohamishika Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Ardhi Maji Nyumba na Nishati Mhe. Salama Aboud Talib, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindsuzi Mhe,. Dk.Ali Mohamed Shein, kufungua Semina hiyo ya Siku moja kwa Watendaji wa Serikali iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akichangia Mada iliowasilishwa kuhusu Matumizi ya Ardhi Zanzibar wakati wa Semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MWANASHERIA Mkuu wa Serekali Mhe. Said Hassan Said, akichangia Mada ya kutowa ufafanuzi wa Kisheria wakati wa Semina ya Kitaifa Kuhusu Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zisizorejesheka Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKURUGENZI wa ZIPA Ndg Salum Nassor Khamis, akichangia Mada kuhusiana na Matumizi ya Ardhi wakati wa semina hiyo iliowashirikisha Wadau kutoka sehemu mbalambali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni.(Picha na Ikulu)
JAJI wa Mahakama Kuu Zanzibar Mhe. Rabia Mohammed, akichangia wakati wa Semina hiyo iliowashirikisha Wadau mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kuzungumzia Matumizi ya Ardhi Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mtendaji wa Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Sheikh.Abdallah Talib, akichangia Mada kuhusiana na Matumizi ya Ardhi wakati wa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
AADHI ya Washiriki wa Semina ya Kitaifa ya Kuhusiana na Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zisizorejesheka Zanzibar, wakifuatilia hafla hiyo katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo.16-3-2019.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment