Advertisements

Wednesday, April 17, 2019

Daraja la Watembea kwa Miguu Bondeni Mbezi Juu Kawe limeokoa maisha


#MtaaniKwetuPAmenoga #UchaguziSeriakliZaMitaa2019 #MatokeochanyA+

May 10 2017 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano ilisema itajenga daraja la juu kwa ajili ya kivuko cha waenda kwa miguu(Over head Pedestrian Bridge) eneo la Kawe Bondeni.

Hayo yalisemwa Bungeni na aliyekuwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe aliyekuwa akijibu swali la Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee kwa Niaba ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

“Tatizo la kivuko cha waenda kwa miguu eneo la Kawe Bondeni hadi Jeshini Kata ya Mbezi Juu na Kawe Tayari limeshapatiwa ufumbuzi” ,Aliongeza Mhe.Kamwelwe.


Tarehe 17 April 2019 Daraja la waenda kwa miguu Eneo la Kawe limekamilika

No comments: