ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 10, 2019

PICHA ZA KULA BATA USIKU WA KONGAMANO NDANI YA MELI

Picha zikiwaonhesha wanaDiaspora waliokuja Sweden kwenye kongamano la uwekezaji wakipata kinywaji na chakula baada ya kongamano la mchana kumalizika. Usiku ulikua mrefu huku fashion show, huku onyesho la muziki wa kizazi kipya na burudani ya muziki iliyoporomoshwa na Dekule Band ili mradi ni kongamano la kihistoria lililokidhi mambo yeote. Picha na NY Ebra Vijimambo Blog.
WanaDisapora wakipata picha ya kumbukumbu ndani ya meli.
Picha mbalimbali za wanaDiaspora wakiwa ndani ya meli ya abiria.
Ukodak wa kujipendelea.
Mambo yalikua barida ndani ya meli usiku,
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Picha chini onyesho na mavazi
Picha chini ni onesho la muziki wa kizazi kipya

No comments: