ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 15, 2019

TAFRIJA YA KUSIMIKWA KWA MCHUNGAJI JOHN MBATTA

Meza kuu ya wachungaji na mapadri katika tafrija fupi ya kusimikwa mchungaji John Mbatta iliyofanyika siku ya Jumapili April 14, 2019 katika kanisa la Kilutheri Rockville, Maryland na kuhudhuriwa na jumuiya za makanisa mbalimbali nje na ndani ya DMV ikiwemo jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO)
Kiongozi wa kanisa hil Bwn. Jerome Kassembe akitoa salaam na kuwashukuru wote waliohudhuria misa na tarija hiyo ya kusimikwa mchungaji John Mbatta.
 Kulia ni mshereheshaji wa kanisa hilo Bwn. Julius Manase akiwa pamoja na mwinjilist Ailen Mushi.
Mwinjilisti Ailen Mushi akiongoza maombi kwenye ukumbi wa tafrija.
Jumuiya mbalimbali za Dini zilizoshiriki katika ibada hiyo wakiwa wamesimama kwa maombi
Waumini wa jumuiya mbalimbali nje na ndani ya DMV wakiwa kwenye ukunbi uliofanyika tafrija fupi ya kusherehekea kusimikwa kwa mchungaji John Mbatta.
Waumini wakifuatilia jambo.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 


No comments: