Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Venance Mabeyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpongeza Bi.Mindi Kasiga, muhitimu kutoka Tanzania, katika mahafali ya Chuo Cha Ulinzi cha Taifa (NDC), Kunduchi jijini Dar es Salaam leo Julai 27, 2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Mstaafu, Jenerali George Marwa Waitara
No comments:
Post a Comment