TDC Global,KC Land Development Plan,BT Innovetion Watambulisha Miradi ya TDC G kwa Serikali ya Zanzibar
Picha ya pamoja ya Uongozi wa TDC Global,KC Land Development Plan,BT Innovetion baada ya mkutano na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Mh Salumu Maulid Salumu katika ofisi zake mjini Zanzibar
Walipokwenda kutambulisha uwekezaji wa nyumba za bei nafuu na ujenzi wa Daraja kutoka Zanzibar kwenda Dar es salaam.
28/06/2019.
No comments:
Post a Comment