Mhe. Pro. Palamagamba Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikano wa Afrika Mashariki akiwa katika mzungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Agosti 23, 2019
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Dkt Damas Ndumbaro (kulia) akiwa katika mazungumzo naMhe.Yonas Yosef Sanbe Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania yaliyofanyika katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam Agosti 23, 2019.Katika mazungumzo hayo ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna kuganishwa Mkunao wa SADC HAPA
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (kulia) akimsikiliza Mhe. Mousa Farhang Balozi wa Iran nchini, walipokutana kwa mazungumzo ofisi ndogo za Wizara jiji Dar es Salaam.
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (kulia) akisalimiana na Mhe. Mousa Farhang Balozi wa Iran nchini Tanzania
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (kulia) akimsikiliza Mhe. Abdelilah Benryane Balozi wa Morocco nchini Tanzania
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakati akifanya mazungumzo na Balozi wa Morocco Mhe. Abdelilah Benryane
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (kulia) akisalimia na Mhe. Abdelilah BenryaneBalozi wa Morocco
Wakati huohuo Mhe. Pro. Palamagamba Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikano wa Afrika Mashariki amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke
Sehemu ya Wafanyakazi wa Ubalozi wa China wakifuatilia mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea
No comments:
Post a Comment