ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 3, 2019

RAIS UHURU KENYATTA APOKEA TAUSI WANNE ALIOPEWA NA RAIS MAGUFULI

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana, August 2, 2019 amemkabidhi Rais Uhuru Kenyatta zawadi ya Tausi 4 aliyopewa na Rais Magufuli alipomtembelea Chato.

Akipokea Tausi hao Kenyatta amesema hiyo ni ishara tosha ya umoja, upendo na undugu uliopo kati ya Kenya na Tanzania.

No comments: