Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Happiness Swai akiwaeleza wafanyakazi wa Taasisi hiyo (hawapo pichani) kuhusu utafiti wa shinikizo la damu na tatizo la kisukari uliofanywa na Taasisi hiyo ambao ni moja ya tafiti saba za magonjwa ya moyo ambazo zitawasilishwa katika mkutano wa kimataifa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza utakaofanyika wiki ijayo nchini Zambia.(Picha na JKCI).
ANGALIA LIVE NEWS
Thursday, August 29, 2019
TAFITI SABA ZA MAGONJWA YA MOYO ZILIZOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUWASILISHWA KATIKA MKUTANO WA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA UNAOTARAJIA KUFANYIKA WIKI IJAYO NCHINI ZAMBIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment