ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 18, 2019

NAIBU WAZIRI MABULA AAGIZA WAKALA HUDUMA ZA MISITU KUPIMA SHAMBA LA MITI LA RUBYA UKEREWE

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula Akizungumza na viongozi wa wilaya ya Ukerewe pamoja na Watumishi wa Shamba la Miti la Rubya katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza alipokwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula Akielekea kukagua moja ya nyumba za watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika shamba la Misitu la Rubya lililoko Ukerewe wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jana. Wa pili kulia ni Meneja wa NHC Mwanza Fadhili Ntahana na kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Focus Majambi
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula Akiangalia maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika shamba la Misitu la Rubya lililoko Ukerewe wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa nyumba hizo zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jana.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula Akielekea kukagua moja ya nyumba za watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika shamba la Misitu la Rubya lililoko Ukerewe wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jana. Kushoto kwa Naibu Waziri wa Ardhi ni Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Mwanza na Geita Fadhili Ntahana.

No comments: