Rais Dkt. Magufuli akiwasili katika uwanja wa Nelson Mandela
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa mpira wa Nelson Mandela kwa ajili ya kuwahutubia.
No comments:
Post a Comment