ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 3, 2019

AROBAINI YA ABDULLAH HUSSEIN MALAIKA



Ustadhi Hajji Khamis akiongoza Dua ya kosomo cha Arobaini ya Abdallah Hussien Malaika kilichofanyika Brooklyn New York. Abdullah Hussein Malaika alifariki mwezi uliopita na kuzikwa huko New Jersey.


Maustadh wakisoma dua kwa picha zaidi nenda chini

No comments: