KISOMO CHA KUMUOMBEA MAMA MZAZI WA MOHAMMED NYUMBANI KWA MOHAMMED BROOKLYN NY. MAMA MZAZI WA MUHAMMED ALIFARIKI SIKU YA ALHAMIS TAR 31 OCT NA KUZIKWA IJUMMA TAR 1 NOV HUKO NYUMBANI TANZANIA. |
USTADHI HAJJI KHAMIS AKIONGOZA KISOMO PICHA ZAIDI CHINI.
No comments:
Post a Comment