#DONE
#AhadiImetimia
SISI WATANZANIA TUNAWEZA.
Rais Magufuli ametimiza ahadi yake ya Kuanzisha mfuko wa wasanii ya Septemba 2015.
Tunaweza Kutimiza kila tunachopanga ili kujenga uchumi imara na madhubuti kwa Watanzania wote!
◾Mfuko wa Utamaduni na Sanaa umeanzishwa rasmi!
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ya Wazalendo, Waadilifu, Waaminifu, Wachapa Kazi!
#HapaKaziTu
No comments:
Post a Comment