Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa kikao cha majadiliano kati ya Serikali na wadau wa sekta ya usafirishaji wakiwemo kutoka vyama vya madereva na viongozi wa vyama vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji ikiwemo TABOA Novemba 1, 2019 Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Masawe akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha majadiliano kati ya Serikali na wadau wa sekta ya usafirishaji wakiwemo kutoka vyama vya madereva na viongozi wa vyama vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji ikiwemo TABOA.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Vijna na Ajira) Mhe. Antony Mavunde akitoa neno la shukrani wakati wa kufunga kikao cha majadiliano kati ya Serikali na wadau wa sekta ya usafirishaji wakiwemo kutoka vyama vya madereva na viongozi wa vyama vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji ikiwemo TABOA kilichofanyika Novemba 1, 2019 Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Vijna na Ajira) Mhe. Antony Mavunde akitoa neno la shukrani wakati wa kufunga kikao cha majadiliano kati ya Serikali na wadau wa sekta ya usafirishaji wakiwemo kutoka vyama vya madereva na viongozi wa vyama vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji ikiwemo TABOA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Mhagama na Naibu wake Mhe Antony Mavunde wakishuhudia zoezi la utiaji saini wa maazimio ya kikao cha pamoja kati ya wadau wa sekta ya uchukuzi na Serikali kilichofanyika Novemnba 1, 2019 Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment