ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 31, 2019

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO WILAYANI CHATO MKOA WA GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Hifadhi
za Taifa (TANAPA) pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka
hiyo wakati alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo
Jumanne Desemba 31, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakihutubia Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) pamoja na
maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka hiyo wakati alipotembelea
Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mkewe Mama Janeth Magufuli wakielezwea jambo kuhusu sehemu ya Ziwa
Victoria na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijazi
alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne
Desemba 31, 2019
Sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo kamainavyoonekana kutoka angani leo Jumanne Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakipanda Kivuko kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo
Jumanne Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakipungia mkono boti lililobeba watalii wakati wakielekea Hifadhi ya
Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ambako yeye pia alitembelea leo Jumanne
Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akiwa na familia ya watalii ya klutoka Ufaransa ya Bw. Arnaud
de Vanssay aliokutana nao wakati akitembelea Hifadhi ya Taifa ya
Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na familia ya watalii ya klutoka Ufaransa ya Bw. Arnaud
de Vanssay aliokutana nao wakati akitembelea Hifadhi ya Taifa ya
Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019

No comments: