Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea Jambo naMawaziri wengine waliohudhuria Mkutano wa saba wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Mazingira naMaliasili wa Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika Dodoma. Mawaziri wengine ni Waziri wa Maliasili naUtalii- Mhe. Hamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya nje na Usirikiano wa AfrikaMashariki Mhe. Damas Ndumbaro na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Mhe.Anthony Mavunde.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu pamoja na Mawaziri wengine waliohudhuria Mkutano wa saba wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Maliasili wa Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika Dodoma wakiimba wimbo maalum wa Jumuia ya Afrika Mashariki.
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano huo wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Maliasili waJumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika Dodoma wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokua ikitolewa wakatiwa Mkutano huo.
Baadhi ya Mawaziri wakisaini ripoti ya mkutano huo wa saba wa Baraza la kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Maliasili wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Mawaziri hao ni Waziri wa Mazingira wa Rwanda Mhe. Jeanne d’Arc Mujawamariya , Mhe. Waziri wa Mazingira Kilimo na Mifugo Burundi, Mhe. Dkt. Deo Guide Rurema, Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Mhe. Hamisi Kigwangala na Waziri wa Maji na mazingira wa Uganda Mhe. Sam Cheptoris
No comments:
Post a Comment