ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 24, 2020

CelebAfrica EP7 Je! Kutafutiwa mke ama mume na wazazi ama ndugu ni sahihi?

CelebAfrica ni kipindi kinachoonekana Clouds Plus (DSTV 294) ambacho kinajikita kwenye kusherehekea ama kuthamini mengi yahusuyo Afrika.
Katika kipindi hiki maalum, tumegusia utata wa kifamilia kuhusu namna yakuianza familia.
*Kwa maana ya kumpata mke ama mume. Je! Ni sahihi uchaguzi huo kufanywa na wazazi ama ndugu wa muoaji ama muolewaji?*
Wana nafasi yoyote? Kama ipo ni ipi?
Na kama hakuna, kwanini?
Ungana na Patrick Newman na Mubelwa Bandio kwenye mjadala huu 'moto'.

No comments: