ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 31, 2020

KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU KILICHOWASILI MKOANI MTWARA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KATIKA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI.

Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akiwatia Moyo Askari waliopangwa kufanya Doria maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mtwara baada ya kutokea kwa uvamizi wa vituo vya Polisi, Kambi za Jeshi na Mabenki huko nchini Msumbiji. (PICHA NA JESHI LA POLISI

No comments: