ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 9, 2020

PICHA ZA MWANZO MIAKA 30 YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

Mhasibuwa Jumuiya ATC Lysa Bantu (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na first lady Gloria Alex katika sherehe ya maadhimisho ya miaka 30 ya Jumiya ya waTanzania DMV siku ya Jumamosi March 7, 2020 na kuhudhuriwa na waTanzania DMV na majimbo mengine. Picha kwa hisani ya ATC
 Wadau mbalimbali wakijumuikakusherehekea maadhimisho ya miaka 30 ya Jumuiya ya waTanzania DMV
Picha ya pamoja
Picha ya kujidai
Mdau akipata picha
Picha ya pamoja
 WaTanzania wakijumuika pamoja kusherehekea maadhimisho ya miaka 30 ya Jumuiya ya waTanzania DMV
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Picha zaidi zinakuja

No comments: