Liberatus Mwang'ombe akifungua semina ya kuelimisha wakaazi wa DMV na sehemu nyingine Marekani wanaozungumza lugha ya Kiswahili umuhimu wa kuhesabiwa, Sensa iliratibiwa na Swahili Society America (SSA) kwa ushirikiano na Prince George's County siku ys Jumamosi March 7, 2020 Lahnam, Maryland. Picha na Vijimambo Blog.
kutoka kushoto ni Carol, Prof Mwaka na Prof Boas wakifugua semina hiyo iliyoratibiwa na Swahili Society America kwa ushirikiano na Prince George's County siku ya Jumamosi March 7, 2020.
Wadau wanao zungumza lugha ya Kiswahili wakifuatilia semina.
Semina ikiendelea
Wadau wanao zungumza lugha ya Kiswahili wakifuatilia semina.
Semina ikiendelea
Patrick Nhigula (kushoto) toka South Carolina akishauriana jambo na Liberatus Mwang'ombe.
Patrick Nhigula (kushoto) toka South Carolina, Liberatus Mwang'ombe na Cleopatra Kulasi wakpata ukodak moment.
Semina Ikiendelea.
Shamis Abdula na Cleopatra Kulasi wapipata picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment