Sunday, April 19, 2020

ABDUL NA ASHA WAMEREMETA MCHANA KWEUPE

 Abdul Baghdellah akimvisha pete  kipenzi mke wake Bi. Asha Nyang'anyi siku ya Jumamosi April 18, 2020 katika msikiti wa Briggs Chaney Silver Spring, Maryland siku ambayo wapendanao hao walipoamua kwa hiari yao wenyewe kufunga pingu za maisha.
  Bwn. na Bibi harusi wakiwa katika picha ya pamoja
  Bwn. na Bibi harusi wakiondoka msikitini mara tu baada ya ndoa yao.
  Abdul Baghdellah akiwa na mdhamini wa pendo lake Bi. Asha Nyang'anyi
Bwana harusi akiwa kweye pozi kali.

No comments: