Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Magharibi Unguja alipowasili katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Magharibi Unguja katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM MKoa wa Magharibi Unguja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Unguja leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment