Advertisements

Monday, March 8, 2021

WANAWAKE EWURA WASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI BAHI

Watumishi wanawake wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakiwa wameshikilia bango lao wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika leo March 8,2021 kimkoa katika Wilaya ya Bahi,jijini Dodoma.
Bango la EWURA likiwa limeonyesha ujumbe wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika leo March 8,2021 kimkoa katika Wilaya ya Bahi,jijini Dodoma.
Watumishi wanawake wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakiwa kwenye maandamano wakati Wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani aliyofanyika leo March 8,2021 kimkoa katika Wilaya ya Bahi,jijini Dodoma.

No comments: