Picha ya Aingiki Mwanga enzi ya uhai wake. Picha zote na VijimamboBlog
Geneza lenye mwili wa mpendwa wetu
Mwinjilisti Ailen na Mchungaji John Mbatta wakiingia kanisani
Mwinjilisti Ailen (kushoto) na Mchungaji John Mbatta wakitoa heshima za mwisho
Mwinjilisti Ailen (kushoto) na Mchungaji John Mbatta wakiongoza ibada ya kusherehekea maisha ya mpendwa wetuAingiki Mwanga iliyofanyika siku ya Jumapili May 2, 2021, Odenton, Maryland.
Familia ikifuatilia ibada
Abigail Simon akisoma somo la kwanza.
Nolan Muganda akisoma somo la pili
Mzee Muganda akisoma wasifu wa marehemu.
Juu na chini mchungaji John Mbatta akiiombea familia.
Familia wakitoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao.
Loveness Mamuya akiwakaribisha kanisani ndugu, jamaa na marafiki waliofika katika ibada ya kusherehekea maisha ya marehemu Aingiki Mwanga iliyofanyika siku ya Jumapili May 2, 2021, Odenton, Maryland.
Picha juu na chini ndugu, jamaa, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.
Eliud Mbowe (kulia) mtoto wa marehemu akifuatilia ibada kushoto ni Joyce Kassembe Omar
Mchungaji John Mbatta akiongoza ibada ya kusherehekea maisha ya Aingiki Mwanga iliyofanyika siku ya Jumapili May 2, 2021, Odenton, Maryland.
Mwinjilist Ailen akisaidianana mchungaji John Mbatta kuongoza ibada ya kusherehekea maisha ya Aingiki Mwanga iliyofanyika siku ya Jumapili May 2, 2021, Odenton, Maryland.
Picha juu na chini MchungajiJohn Mbatta akiiombea familia ya marehemu.
Loveness Mamuya akitoa neno la shukrani kwa niaba ya kamati ya msiba.
Winnie Bomani akitoa salam na neno la shukurani kutoka kwa familia ya marehemu.
Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada,Colonel Festus Mang'wela akitoa salamu kutoka Ubalozi wa Tanzania kwa niaba ya Mhe. Balozi Wilson Masilingi.
Mchungaji Yohana Maginga wa kanisa la Christian Mission, Rockville, Maryland akiongea jinsi alivyokua akimjua marehemu.
Mchungaji Absalom Nasuwa kutoka kanisa la Umoja International Out Reach, Dallas, Texas akielezea jinsi alivyomjua marehemu na kumpongeza mtoto wa marehemu Eliud Mbowe (hayupo pichani) jinsi alivyopigamia maisha ya mama yake mpaka mwisho.
Richard Mawenya wa kanisa la Kiswahili la Kilutheri Rockville, Maryland akitoa neno la shukrani kutoka kwenye kanisa hilo.
Mchungaji Rahab Kuntai kuoka kanisa la Baptist Lanham, Maryland akieleza jinsi alivyomjua marehemu.
Kikundi cha akina mama rafiki wa marehemu wakiimba wimbo wa injili waliokua wakiimba pamoja na marehemu enzi ya uhai wake.
Picha juu na chini ndugu, jamaa na marafiki wakitoa mkono wa pole kwa wafiwa.
Kutoka kushoto Rais mstaafu Mr. Sandaly, mgombea urais DMV Pius Mutalemwa na Abbas Mattaka wakiwa katika picha ya pamoja.
Kutoka kushoto ni Baraka, Asha, Agelina, Pius, Rebecca na Samaki wakiwa kwenye picha ya pamoja
Kutoka kushoto ni Emmanuael, Asha, Angelina, Rebecca na Pius wakiwa katika picha ya pamoja
Kutoka kushoto ni Pius Mutalemwa, mgombea Urais, Mlezi wa Jumuiya Mzee Boas, Angelina Kihemia mgombea Urais DMV na Asha Nyang'anyi mgombea ujumbe wa bodi DMV wakiwa katika picha ya pamoja
Mgombea Urais DMV Pius Mtalemwa wa pili toka kulia akiwa na mkewe Justa Mutalemwa mwenye kofia ya pama wakiwa katika picha ya pamoja na wapiga kura wao DMV
Asha Nyang'anyi akisalimiana na Janice Manase
Mgombea mjumbe wa bodi Asha Nyang'anyi (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mgombea makamu wa Rais Jumuiya ya waTanzania DMV Rebecca Ndekeja (kulia) na Janice Manase (mke wa Julius Manase )
Mke wa mgombea urais Jumuiya ya waTanzaniaDMV Justa Mutalemwa (kushoto) akisalimiana na Janice Manase.
Kutoka kushoto ni Rebecca Ndekeja, Justa Mutalemwa mna Janice Manase
No comments:
Post a Comment