Ustadh Miki akiongoza sala ya magharibi siku ya Jumapili kabla ya futari iliyoandaliwa na Missy Temeke na mumewe iliyofanyika katika hotel ya Sheraton, Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki zao wa karibu.

Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja kwenye futari iliyokua imeandaliwa na MissTemeke na mumewe katika hoteli ya Sheraton iliyopo Silver Spring, Maryland.

Picha juu na chini ni mapambo na chakula kutoka kwa Elegant Catering ya Eddah Gachuma
Wakina baba wakiwa katika picha ya pamoja
Wakina mama wakiwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment