Kazi mbalimbali za ujenzi wa Meli mpya ya MV.
Mwanza Hapa Kazi Tu ukiendelea kwa kasi kubwa katika Bandari ya Mwanza Kusini.
Ujenzi wa Meli hiyo umefikia asilimia 74% na unatarajiwa kukamilika
mapema mwakani.
Meli hii itakuwa na
uwezo wa kubeba abiria 1200 pamoja na mizigo tani 400, na
inatarajiwa kufanya safari za kutoka Mwanza-Bukoba, Musoma na nchini Uganda. Hapo
jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alitembelea
kukagua ujenzi wa Meli hiyo mkoani Mwanza.
No comments:
Post a Comment