Advertisements

Monday, June 21, 2021

WAZIRI UMMY AMSIMAMISHA KAZI MHANDISI MANISPAA YA KINONDONI

 

Waziri wa  TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu jana Juni 20, 2021 amemsimamisha kazi Mhandishi wa Manispaa ya Kinondoni  Isack Mpaki na amesimamisha ujenzi wa stendi ya mabasi Mwenge Mkoani Dar es Salaam kupisha uchunguzi kutokana na kutoridhishwa na maendeleo ya mradi huo. Ni Baada ya Kufanya Ziara kwenye mradi huo jana Jumapili.






No comments: