ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 30, 2021

TAARIFA YA KISOMO CHA MZEE MOHAMMED A.LUPEMBE NA MZEE HAMZA SIWA

Ndugu wanaJumuiya tunapenda kuwatangazia kuhusu Kisomo cha pamoja kuwaombea Marehemu Baba Wazazi wa James Lupembe na *Khalifa Siwa* kitakachofanyika siku ya Jumamosi tarehe 7/31/2021 kuanzia saa Kumi Kamili Jioni (4:00PM)
Kisomo kitafanyika Nyumbani kwa James Lupembe katika anwani ifuatayo:
1144 Rosedale Ave, 
Bronx, NY 10472*

Tuonaombeni kuzingatia muda ili tuweze kufanikisha shughuli yetu ya Kisomo kwa wakati muafaka.

Shukrani,

Imetolewa na:

Hajji Khamis & Kinyasi NM
Waratibu Shughuli ya Kisomo.

K.N.Y.
Uongozi NYTC
7/28/2021.

No comments: