RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MHE.TONY BLAIR WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UINGEREZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair wakati Mhe. Blair alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 22,2021. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment