KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND APATA CHANJO UJERUMANI
kiongozi wa bendi maarufu Ngoma Africa band ya Ujerumani mwanamuzi ki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja asema "Watanzania Tuchanje" Rais Mama Samia hawezi kutuingiza chaka, jamani tuchanje tusisikilize maneno ya wapiga lamri wanaopotosha.
No comments:
Post a Comment