WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI BALOZI LIBERATA MULAMULA AKIFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI MAREKANI AUG 25-29
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia maswala ya Afrika, Mhe. Victoria Nuland (nguo ya mabaka nyeusi na yeupe) pamoja na kaimu Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulika na maswala ya Afrika, Balozi Robert Godec (wapili toka kulia). Katika mazungumuzo hayo, viongozi hao walijadili maswala mbalimbali ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani likiwemo janga la Uviko-19, biashara na uwekezaji.

Wliokaa kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) akiwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Jean Msabila pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Amerika na Ulaya Balozi Swahiba Mndeme na Mabalozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Mkurugenzi idara ya Amerika na Ulaya Balozi Swahiba Mdeme ( wakwanza kushoto), Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Jean Msabila (watatu toka kushoto) katikapicha ya pamoja na Bw. Robert A. Raines, Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania. kulia ni Dkt. Elias Magembe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Jean Msabila Kwenye mkutano wa pamoja na Bw. Robert A. Raines, Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) akiwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Jean Msabila pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Amerika na Ulaya Balozi Swahiba Mndeme wakiwa Kwenye picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi kutoka nyumbani
Kati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Amerika na Ulaya Balozi Swahiba Mudeme (kulia) na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Jean Msabila wakifanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Denmark, Mhe. Flemming Moller Mortensen (haonekani pichani) kuhusu uamuzi wa nchi ya Denmark kufunga shughuli za Ubalozi wake nchini Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mkutano wa jia ya mtandao na wanaDiaspora wa Tanzania nchini Marekani wakiwemo na nje ya Marekani siku ya Jumamkosi Aug 28, 2021 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC

Aliywsimama ni Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwn. Pius Mutalemwa akitoa salamu za Jumuiya hiyo kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula siku ilipofanyika mkutano kwa njia ya mtandao kwa wanaDiaspora katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Mkutano ukiendelea
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mkutano wa jia ya mtandao na wanaDiaspora wa Tanzania nchini Marekani wakiwemo na nje ya Marekani siku ya Jumamkosi Aug 28, 2021 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mkutano wa jia ya mtandao na wanaDiaspora wa Tanzania nchini Marekani wakiwemo na nje ya Marekani siku ya Jumamkosi Aug 28, 2021 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DCWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mkutano wa jia ya mtandao na wanaDiaspora wa Tanzania nchini Marekani wakiwemo na nje ya Marekani siku ya Jumamkosi Aug 28, 2021 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, Mkurugenzi wa Idara ya A,erika na Ulaya Balozi Swahiba Mdeme (kushoto waliokaa) na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Jean Msabila wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya kutoka majimbo mbalimbali nchini Marekani
Viongozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV wakiwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment