ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 1, 2021

TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA

Joseph Mlangila Mfugale enzi ya uhai wake

Wana Jumuia wenzetu Vitus,Margareth, John, Alex, Sophia na Joyce Mfugale wanasikitika kutangaza msiba wa Baba yao mzazi (Joseph Mlangila Mfugale) uliotokea July 31, 2021 katika Hospital ya Seifee Dar-Es- Salaam.Familia inategemea kusafiri Jumapili August 1 kwenda nyumbani Tanzania kumpumzisha baba yao mpendwa kwenye nyumba yake ya Milele
Kama ilivyo kawaida kupeana pole ndio mila na desturi yetu;

Unaweza kuwashika mkono wafiwa kupitia;
1. Cashapp $s1mba12 (Andrew Matika)

2. Zelle rmkive@gmail.com (Richard Kivembele)

Kwa maelezo zaidi na kutoa pole wasiliana na;
1. Beatrice Matika 240-595-1679
2. Jacqueline Adoko 240-422-6522
3. Berdina Massawe 470-892-8454

BWANA AMETOA,BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments: