Advertisements

Monday, September 13, 2021

BALOZI SOKOINE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WADAU WA JUMUIYA YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZILIZOPO KWENYE MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI

Katibu Mkuu -Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiana wa Nchi za Afrika Mashariki Mhe. Balozi Joseph Edward Sokoine akihutubia na kufungua kikao KAZI cha wadau wa Jumuiya ya Nchi zilizopo kwenye Mwambao wa Bahari ya Hindi (IORA) kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano ZURA Maisara Mjini Unguja.
Mkurugenzi Ofisi ya Mambo ya Nje Zanzibar Balozi Masoud A. Balozi akiwakaribisha wajumbe katika kikao kazi cha wadau wa Jumuiya ya Nchi zilizopo kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi (IORA) kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano ZURA Maisara Mjini Unguja.
Mkurugenzi -Idara ya Ushirikiano wa kikanda -Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Agnes R. Kayola akitoa maelezo mafupi kuhusu lengo la kikao na kumkaribisha mgeni rasmi kufungua kikao kazi cha wadau wa Jumuiya za Nchi za Afrika Mashariki zilizopo kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi huko hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano ZURA Maisara Mjini Unguja
Katibu MKuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Dkt.Aboud S.Jumbe akiwasilisha mada ya Uchumi wa Buluu na tija zake katika maendeleo ya Taifa ,wakati wa kikao KAZI cha wadau wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki zilizopo kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi (IORA) kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano ZURA Maisara Mjini Unguja.
Meneja mahusiano Uwekezaji -ZIPA Bw. Omar Mussa Omar akiwasilisha mada ya fursa za Uwekezaji zilizopo kwenye Ukanda wa BAhari kuu na mazao ya Baharini katika kikao KAZI cha wadau wa Jumuiya za Nchi za Afrika Mashariki zilizopo kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi huko Ukumbi wa Mikutano ZURA Maisara Mjini Unguja
Afisa Uvuvi Mwandamizi Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu -Zanzibar Bw. Christian Alphonse Nzowa akiwasilisha mada ya Uvuvi katika Bahari kuu wakati wa kikao KAZI cha wadau wa Jumuiya Nchi za Afrika Mashariki zilizopo kwenye mwambao wa bahari ya Hindi huko Ukumbi wa Mikutano ZURA Maisara Mjini Unguja.
Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bi Farhat Ali Mbarouk akiwasilisha mada ya uhifadhi wa mazingira na mchango wake katika Uchumi wa Buluu wakati wa kikao KAZI cha wadau wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki zilizopo kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi huko Ukumbi wa Mikutano ZURA Maisara Mjini Unguja. 

PICHA NA FAUZIA MUSSA – MAELEZO ZANZIBAR

No comments: