ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 21, 2021

MAJALIWA AZINDUA JENGO LA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA KYERWA MKOANI KAGERA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 20, 2021. Wa nne kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, wa tatu kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mika na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, David Silinde, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kyerwa, Rashidi Mwaimu, kulia ni Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Kyerwa, Daniel Damian.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 20, 2021. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kyerwa, Rashidi Mwaimu, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, David Silinde na Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye vuiwanja vya Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera kuzindua ofisi hiyo, Septemba 20, 2021. Kushoto ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: