Advertisements

Wednesday, September 22, 2021

MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DURBAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Sept 22,2021 ameshiriki katika kumbukizi ya Miaka 20 ya Azimio la Durban linalofanyika katika ukumbi wa Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Marekani. PICHA NA IKULU.

No comments: