Advertisements

Wednesday, September 15, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA DKT. STERGOMENA TAX

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 14, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: