Advertisements

Tuesday, May 17, 2022

SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON ÀONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

No comments: